Siafu wanne walikuwa katika
matembezi wakakutana na tembo;
SIAFU 1: Tumuuwe
SIAFU 2: Hapana tumvunje miguu tu
SIAFU 3: Tumsukume pembeni
atupishe tupite
SIAFU 4:Hapana tumwache tutakuwa tunamuonea sisi tuko
wanne ye yuko peke yake, ITAKUWA DHAMBI
No comments:
Post a Comment