Jamaa bonge kaona tangazo
limeandikwa : "Punguza kilo 5 kwa wiki"
Akawapigia simu na kuomba kujiunga, akaambiwa sawa ila awe tayari amefika ofisini saa 12 za
Asubuhi..kesho yake
Siku ya pili akenda na alipofika akapelekwa
kwenye chumba Fulani hivi. Alivyokifungua
akakutana na binti mmoja mzuri kavaa raba,
tight na Tshirt, Binti akasema ukinikamata tuuu
utalala na mimi na binti akaanza kukimbia.
Bonge alimkimbiza yule binti bila mafanikio na
kila siku kazi ikawa hiyo, Yule Bonge akapunguza
kilo 5 ile wiki.
Bonge akaoomba apewe programu ya kupunguza
kilo 10. siku ya pili asubuhi saa 12 alipofungua
mlango akaona bebe ya ukweli ikiwa imevaa
bikini.
Binti kasema ukinishika tuu nakupa mambo
mazuri jamaa na tamaa zake akamkimbiza yule
bebe na mate yanamtoka kila siku kwa wiki ile
mida ilele lakini hakumshika yule mrembo na
akapunguza kilo 10 ndani ya wiki.
Jamaa akanogewa na kuomba programu ya
kupunguza kilo 25
Ofisi akamwuliza kama anauhakika unaitaka hiyo? Kwani ni
programu ngumu sana ...
Jamaa akajibu kwani wanionaje? siwezi shindwa
mimi.
Siku ya pili yake saa kumi na mbili asubuhi
akaenda kufungua chumba kile akitegemea
kukutana na bebe ya ukweli ikiwa tupu, ile
kufungua tuu akakutana na jamaa moja la
miraba minne likimwambia
“ NIKIKUSHIKA TU NAKULA KIBOGA”"
Yule bonge ndani ya ile wiki alipunguza
kilo 40...