jog

jog

Friday, April 6, 2012

KIVUNJA MBAVU CHA LEO


“NILIANZA kwa mbele kama ilivyo kawaida akawa anataka kulia, ikabidi nifanye upande upande. 
Hali ikawa ileile, nikaona nimgeuze nijaribu kwa nyuma labda itakuwa vizuri, lakini wapi ndiyo akazidi kulia na kudai namuumiza sana. 
Yaani wee acha tu kunyoa watoto wadogo kazi kwelikweli.

No comments:

Post a Comment